Picha ambazo hazijakaa poa katika kipindi hiki cha Mfungo wa Mwezi
Mtukufu wa Ramadhani za mastaa, Aunt Ezekiel, Wema Sepetu na Martin
Kadinda zimetibua swaumu za Waislamu waliofunga.
Picha hizo zinazoonesha ni za kipindi cha Wema cha In My Shoes
kinachorushwa kupitia EATV, zinawaonesha sehemu ya juu ya warembo hao wakiwa watupu.