Tanzania kuanza kutumia mfumo mpya wa Passport za Kielekrotinik

Rais Magufuli @MagufuliJP leo anazindua Passport mpya ya Kielektroniki ya Tanzania, Passport za karatasi za sasa mwisho wake wa kutumika ni January 20 2020, unatakiwa kuwa na kitambulisho cha Taifa kwenye uombaji wa Passport hii mpya. #MillardAyoUPDATES

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post