Tangazo la TANESCO kwa wakazi wa Ubungo na Kimara



Shirika la umeme Tanzania TANESCO wilaya ya Ubungo linawatangazia wananchi wote wa wilaya ya Ubungo kuwa kutakua na marekebisho makubwa katika Station kuu ya TANESCO iliyopo Ubungo Maji.

Maeneo yatakayokosa huduma ya umeme ni Ubungo,Kimara,Mbezi,Mabibo ,Buguruni na maeneo mengine machache ya karibu

Kwa maana hiyo huduma ya umeme itasitishwa kuanzia saa 2 asubuh mpaka saa 12 jioni ya leo. Shirika la Umeme TANESCO linaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.

Imetoka kwa Meneja mawasiliano Tanesco (W) Ubungo

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post