Tafiti zaidi juu ya Ukuaji wa Uchumi wa Dunia



OXFAM: Ukuaji wa uchumi wa dunia unahudumia maslahi ya matajiri huku mabilioni ya watu wakiendelea kusota ktk umaskini.

82% ya faida ya pato la uchumi duniani lililopatikana mwaka jana liliingia kwenye mifuko ya matajiri, watu maskini bilioni 3.7 hawakupata kitu ktk utajiri huo. 

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post