Mchungaji wa Kanisa la Bishop Mji wa Bwana lililopo Mbezi kwa Msuguli jijini Dar es salaam amedai ametapeliwa nyumba na mchungaji mwenzake mkoani Morogoro. Mtumishi huyo wa Mungu aliyejitambulisha kwa jina la Jacob Jorum Swila alidai alimpangisha mchungaji huyo ambaye pia alikuwa ni mwanafunzi wake wa zamani na yeye kuamua kuiuza.
Tags
kitaifa