Home IMF yathibitisha kushuka kwa uchumi wa Tanzania byAdmin -13 January 0 Shirika la Fedha la Kimataifa(IMF) laonya tena kuhusu kusinyaa kwa uchumi wa Tanzania na kuitaka Serikali kuchukua hatua za haraka ili kuinusuru hali hiyo. > Taarifa hiyo inasema kuwa Sekta binafsi zinakufa na mapato kushuka kwa kasi | Facebook Twitter