Faiza Ally Afunguka 'Alama ya Kwanza ya Mwanamke Mjinga Ndani ya Ndoa'


Alama ya kwanza ya mwanamke. Mjinga Ndani ya Ndoa

1. Kuficha manyanyaso na kuvumilia uovu ikiwemo kupigwa
2. Kuzaraulika
3. Kuhisi kutokua na mume ni aibu
4. Na kulea mwanaume

Ukiona unapata hayo yote kwenye ndoa na bado upo unahitaji kansela ya kujijua . Na mapenzi hayana maumivu ukiona unaumia kila siku ujue hamna kitu hapo mnaishi tu
Na kikubwa cha kuzingatia sisi wanawake tunao uwezo wa kuishi na mwanaume kwa kuwavumilia lkn wanaume kama hakupendi hata ukimvumilia haitasaidia yeye kukupenda kamwe! Utaishi kwa maumivu mpaka mwisho wa maisha yako! Kuvumilia uovu sio mapenzi ni ujinga .....kuishi bila ndoa sio aibu . Mwanaume mmbaya kwenye maisha yako hatabadili toka katafute wengine hata 100 wa 101 atakua mwema ....JAMBO BEAUTIFUL WOMAN 

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post