Chama cha demokrasia na maendeleo nchini CDM, Kimejipanga safu mbili zitakazofanya kazi ndani ya siku 27 za kampeni za uchaguzi mdogo katika majimbo ya Kinondoni na Siha, kila moja ikiwa na vigogo 15.
Ile ya Kinondoni itaongozwa na Waziri Mkuu mstaafu, Sumaye na ile ya Siha itakuwa chini ya Freeman Mbowe
Tags
Siasa