Amber lulu ni moja kati ya wasanii wanaekuja juu sana katika tasnia ya Muziki wa kizazi kipya. Ni mrembo aliepata umaarufu kupitia mtandao wa Instagram katika ukurasa wake, kwa kuweka picha zake zikionyesha baadhi ya sehemu zake nyeti.
Akiwa kama msanii wa kike ambayw tunasema kuwa msanii ni kioo cha jamii. Ni kweli Amber Lulu na wasanii wenhine wa kike wanaelimisha jamii?
Toa maoni yako hapo chini sasa.
Tags
Udaku