Home BUGURUNI: Bomba la Gesi lalipuka na kusababisha moto mkubwa byAdmin -09 January 0 TPDC imesema bomba la gesi limelipuka eneo la Mnyamani, Buguruni baada ya wafanyakazi wa Dawasco kulitoboa kwa bahati mbaya wakati wakitengeneza bomba la maji #MwananchiUpdates Facebook Twitter