TRUMP AMUALIKA KENYATA WHITE HOUSE

Kenya imepokea mwaliko kutoka Marekani kuhudhuria hafla ya kuwashukuru kwa kuendeleza urafiki itakayofanyika Januari 13, 2018
> Ni baada ya kupiga Kura ya kuunga mkono uamuzi wa Rais Donald Trump kuutambua Jerusalem kuwa Mji Mkuu wa Israel

Soma https://t.co/0bwKOPISO3
#JFLeo

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post