KUMBUKUMBU: Tar 26 December 2006 watu 250 walichomwa moto hadi kufa Nigeria

#KUMBUKUMBU Desemba 26, 2006, wezi walipasua bomba la mafuta kulikopelekea mafuta kumwagika na baadaye kulipuka moto ulioua watu zaidi ya 250 waliokuwa wakizoa mafuta hayo na wale waliokuwa karibu, huko Nigeria.

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post