BREAKINGNEWS: Jeshi la UGANDA limeua takribani wàasi 100 huko DRC


Jeshi la Uganda(UPDF) limesema kuwa, limewaua takribani waasi 100 wa kundi la ADF katika mashambulizi ya angani na ardhini iliyoyafanya kwenye kambi za kundi hilo mnamo Desemba 22, 2017 huko ktk misitu Mashariki mwa Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo. 

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post