BREAKINGNEWS: TUNDULISU ASIMAMA KWA MARA YA KWANZA

Ujumbe wa Mbunge Tundu Lissu kutoka Hospital ya Nairobi nchini Kenya anakoendelea na matibabu baada ya kushambuliwa kwa Risasi mwezi Septemba, 2017
~

Dear family na wapendwa wote.

Wiki iliyopita niliwataarifu kwamba madaktari wangu wamesema 'nitasimama, nitatembea na nitarudi Tanzania.'

Leo Boxing Day nimeweza kusimama kwa mguu mmoja kwa msaada wa 'Mababa Cheza' wangu.

Hatua inayofuata ni magongo kesho na nitawajulisheni hatua nyingine katika matibabu yangu accordingly.

Wasalaam,
Tundu AM Lissu

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post