BREAKINGNEWS: Nyumba ya Rais Yachomwa moto na watu wasiejulikana usiku wa Krismasi


Katika Amka Na BBC asubuhi hii...

Makazi binafsi ya Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo yachomwa moto na watu wasio julikana.

Raia wa Liberia leo wanafanya uchaguzi wa Rais wa marudio.

Na wajua kwamba kucheka kwa furaha kwa nusu dakika ni sawa na kupumzika kwa dakika 45?.

Usikose kusikiliza pia yale yaliyojiri nchini Burundi, katika kipindi cha mwaka huu unaoisha wa 2017.

Ungana nasi katika AMKA na BBC muda mfupi ujao.

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post