Tindu Lissu: Madaktari wangu wamesema nitasimama tena na Kurudi Nyumbani Tanzania.
byAdmin-
0
Baada ya kuhojiwa leo mchana kuhusu afya yake na kituo cha Habari cha DW Mh. TUNDU LISSU alijibu Madaktari wangu wameniambia ntakua fiti, nitasimama, nitatembea na nitarudi Tanzania"