Kenya: Ajali ya Lori na magari kumi yaua watu 20


KENYA: Takribani watu 20 wamefariki katik ajali iliyohusisha magari 10 kwenye barabara kuu ya Nakuru-Eldoret
> Chanzo ni Lori lililokuwa linakimbizwa na maafisa usalama wa barabarani kupoteza uelekeo | Soma https://t.co/mO0BQxLh7Q
#JFLeo 


Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post