Askofu ahojiwa Uhamiaji kwa kudai katiba Mpya ya Warioba


Askofu Wa Jimbo Katoliki La Rulenga, Wilaya Ya Ngara Mkoani Kagera, Severine Niwemugizi (61) Amehojiwa Na Idara Ya Uhamiaji Kuhusu Uraia Wake.

Taarifa Zinaeleza Kwamba Askofu Niwemugizi Alihojiwa Mara Mbili Na Idara Ya Uhamiaji Kuhusiana Na Uraia Wake Kati Ya Mwezi Novemba Na Disemba.

Mwishoni Mwa Mwezi Septemba, Askofu Huyo Alisema Imefika Wakati Nchi Inahitaji Kuwa Na Dira Nzuri Ambayo Pia Italetwa Na Katiba Mpya.

Nini Maoni Yako?

1 Comments

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post