Mchezaji wa timu ya taifa ya Misri Mohammed Salah jana jioni alitanganzwa kuwa mwanasoka bora wa mwaka wa Afrika katika tuzo zilizotolewa na shirika la habari la kimataifa la BBC, Mo Salah ambaye ni mchezaji wa Misri aliingia katika kinyang'anyiro hiki kati ya wachezaji watano waliekuwa wakiwania tuzo hiyo ya Mwanasoka bora wa Afrika 2016/2017
Tags
Michezo