HomeAfrika Mwanafunzi auwawa kisa kugombania Mkate byAdmin -07 January 0 Mwanafunzi mmoja ameuawa na wengine sita kujeruhiwa kufuatia maandamano yaliyofanyika nchini Sudan Kusini baada ya gharama ya mkate kuongezeka mara mbili zaidi,Ni baada ya serikali ya nchi hiyo kufanya maamuzi ya kuondoa ruzuku ya vyakula. Tags Afrika Facebook Twitter