Mwanafunzi wa Sekondari akamatwa akiwa na sare za JWTZ Dar

Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam linamshikilia Said Suleiman (17) mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari Fahari iliyoko Goba kwa kukutwa na sare za jeshi na kujifanya ni askari wa JWTZ.

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post