Kimataifa: Rais wa Marekani Donald Trump apiga marufuku Waislamu Marekani

MAREKANI: Mahakama Kuu yaidhinisha zuio la serikali ya Rais Trump la kutoruhusu raia kutoka nchi sita (6) za kiislamu kuingia nchini Marekani. Raia wa nchi za Chad, Iran, Libya, Somalia, Syria na Yemen wataathirika na maamuzi haya. #KwanzaHabari

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post