Polisi waanza rasmi Upelelezi wa kesi ya Lissu-watua Nairobi

Mkuu Wa Jeshi La Polisi (IGP), Simon Sirro Amesema Kuwa Ametuma Timu Ya Wapelelezi Wawili Kwenda Nairobi, Kenya Kufanya Mahojiano Na Tundu Lissu, Dereva Wake Na Mlinzi Wake.

IGP Sirro Amesema Wametuma Wapelelezi Hao Nairobi Baada Ya Kusikia Lissu Amekubali Kuhojiwa Juu Ya Tukio Hilo Na Matarajio Yao Pia Ni Kuwapata Dereva Na Mlinzi Wake.

"Tumetuma Watu Wetu Kwenda Kuchukua Maelezo Yake (Lissu). Mwanzo Tuliomba Kwenda Lakini Chama (Chadema) Walikataa, Juzi Tumesikia Wamesema Wapo Tayari" - Amesema IGP Sirro.

Wakati IGP Sirro Akituma Wapelelezi Hao, Familia Ya Lissu Juzi Ilisema Wakati Wowote Mbunge Huyo Atasafirishwa Kwenda Nchi Za Ulaya Magharibi Kwa Ajili Ya Mazoezi Ya Viungo.

Nini Maoni Yako?

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post