Mwanamke Mmoja kutoka wilaya ya Msamvu B mkoani morogoro mwenye umri wa miaka 27 mchana wa leo amejifungua vichanga wa 4 kwa wakati mmoja ikiwa ni jambo la ajabu sana kiwahi kutokea katika hospitali hiyo. Nini maoni yako katika habari hii??
Mama wa vichanga 4.. aliye na umri wa miaka 27