Hivi karibuni Jeshi la Polisi lilitoa taarifa kuwa katika mwaka huu vitendo vya ulawiti na ubakaji vimeongezeka ukilinganisha na mwaka 2016. Je nini kifanyike kupunguza hali hii?
Licha ya juhudi za wanaharakati mbalimbali juu ya kutokomeza ubakaji na ulawaiti lakini bado vitendo hivi vimezidi kuondelea katika maeneo mbalimbali hapa nchini. Nini hasa kifanyike ili kuokoa hali hii??
Sikiliza #EABreakfast muda huu .
Tags
IGP SIRO