DAR: Shahidi akiri Polisi walitaka data za mteja wa JF bila kutaja ni kwa mujibu wa sheria gani
- Ashindwa kueleza ni kosa gani lilikuwa likichunguzwa, hamfahamu “Mkurugenzi Mkuu wa Jamii Forum”
- Akiri barua ya kutaka data ilikuwa ni ya Amri ya polisi na sio ombi