GEITA: Wananchi washerekea kuuwawa kwa Fisi 15

GEITA: Wakazi wa Kijiji cha Buzanaki wamesherehekea kuuawa kwa Fisi 15 ndani ya wiki moja baada ya mtoto wa miaka 6 kuuawa na wanyama hao huku wengine 3 wakijeruhiwa ktk matukio tofauti.


Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post