Rais wa Urussi ampa neno zito Trump

Viladmir Putin URUSSI....

Huyo anaetembea bara la ASIA anatangaza korea kasikazini itengwe kutokana na mpango wake wa nukilia hakika atashindwa

Sisi kama RUSSIA tunaiyunga mkono Pyongyang na endapo itatokea nchi yeyote itakayo ishambulia North korea kijeshi hakika itakiona cha moto,

Hayo nimaneno ya kiongozi wa Urusi -Viladimin Putin -

2 Comments

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post