Balozi wa Tanzania aitwa Kujieleza Nchin Kenya

BALOZI WA TANZANIA AITWA KUJIELEZA

Serikali Ya Kenya Imemuita Balozi Wa Tanzania Nchini Humo Kujieleza Kwanini Vifaranga Vya Kuku 6,400 Kutoka Kenya Vimechomwa Moto Nchini Tanzania Na Kwanini Ng'ombe 1,325 Kutoka Kenya Zimetaifishwa Na Kupigwa Mnada.
Hata Hivyo Waziri Wa Uvuvi Na Mifugo Wa Tanzania, Luhaga Mpina Amesema Ng'ombe Waliopigwa Mnada Hawana Mwenyewe.
#DwKiswahili
Nini Maoni Yako?

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post