Rais Magufuli Amsifia Paul Makonda...Atinga Meli ya Wachina



DAR: Rais John Pombe Magufuli afika bandarini kuagana na Madakari wa Meli ya Jeshi kutoka China.
-
Asema wagonjwa takribani 10,000 walifika kupata matibabu katika meli hiyo
-
Aidha, Rais Magufuli amemsifia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kwa uchapakazi na kuwataka Viongozi wengine wajifunze kwake.

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post