Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa CHADEMA Taifa (BAVICHA), Patrobas Katambi amejiunga rasmi na chama cha @ccm_tanzania kupitia Mkutano Mkuu wa NEC. Patrobas amesema wapinzani wengi wanahubiri mabadiliko ila kiuhalisia wao wanaishi maisha ya kishetani wakati raia wanaumia. https://t.co/UmHxa2Hjza
Tags
Siasa