Dokta Luis Shika aachiwa na mahakama jioni hii

DKT LUIS SHIKA almaharufu MZEE WA MIA TISA ITAPENDEZA ZAIDI akiwa kwenye gari la tabata mawenzi kuelekea nyumbani baada ya kuachiwa na mahakama jioni ya Leo.MPE NENO MOJA  BILIONEA WA KWANZA KUPANDA DALADALA

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post