Dkt. Shika aingia kwenye siasa rasmi

Hatimae gumzo la jiji a.k.a Dkt Shika mzee wa 900 itapendeza ameonekana akimnadi kada mmoja wa CCM katika Kampeni ndogo za Udiwani zinazoendelea kote nchini je nini maoni yako kwa Dkt Shika?? Unamshauri nini Mze wa 900 itapendeza???

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post