Chuchu Hans Ageuka Mbogo Baada ya Kuachana na Ray


https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgwox2x9AmZSBVor0nXktCOplyCsGqygWoELrUH5OANWMevCe0jG-UOr-N47poIEeFf9O_5sa_GndlF1rncEMkzan05mCq-zezTODETLjKQ5BrR2xtuhRvh7R1Df2LkN_K7_-1ELeSYTew/s1600/RAY-na-Chuchu.jpg
STAA wa filamu Bongo, Chuchu Hans kwa mara ya kwanza amegeuka mbogo ‘amewaka’ baada ya kuulizwa madai ya kuachana na msanii mwenzake aliyezaa naye mtoto mmoja, Vincent Kigosi ‘Ray’.

Chuchu ameiambia Star Mix kuwa, kila kukicha anasikia madai ya kuachana na mzazi mwenzie huyo na mpaka sasa hajajua ni nani anayeendelea kuzusha habari hizo.

“Najua wazi watu wengi hawapendi kabisa kuniona na Ray. Naanza kuingiwa na wasiwasi huenda wanaosambaza habari hizo ni watu wa karibu yetu na siku nikiwabaini ama zake au zangu,” aliwaka Chuchu.

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post