Paul Makonda "Nimarufuku Kupiga Mziki wa Wazi Jijini Dar es Salaam zaidi ya Saa Sita Usiku....




Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda leo akihojiwa na Katika kituo cha radio cha E-FM ametoa onyo kwa watu wa Wenye Wanaomiliki Bars na Watoa Burudani kutokupiga mziki baada ya saa sita usiku...ametoa agizo kwa askari kufanya kazi yao kwa yoyote atakae piga mziki baaada ya muda huo

Hii inakuja ikiwa Tarehe 25 Nov kuna Tamasha kubwa la Fiesta Ambalo mara nyingi huwa linafanyika mpaka asubuhi....Sasa Je Tamasha Hili Pia litaishia saa sita au?

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post