Jamaa mmoja nchini Ireland ameamua kujaribu maisha ya kifo kwa kuwekwa kwenye jeneza na kufukiwa huku akipatiwa msaada wa hewa na chakula. Nia yake ni kutaka kuwapa moyo watu waliokata tamaa ili wasiogope kufa
Je huu ni ujasiri au ujinga ?
Tags
Kimataifa