Mbunge wa Singida Mashariki na Mwanasheria mkuu wa Chama cha demokrasia na Maendeleo CHADEMA, amefungua kesi katika Mahakama kuu akipinga hukumu ya bunge dhidi ya Wabunge (Esther Bulaya na Halima Mdee) waliesimamisha kushiriki vikao vitatu vya Bunge kwa kipindi cha mwaka mmoja (miezi 10).
Tags
Siasa