Habari wana jamvini kunadada mmoja huyo Pichani jirani yetu imekua kero
kwa mme wake baada ya kumlazimisha mme wake aoe mke wa pili baada ya
kuona kua yeye hawezi kumhimili kua jamaa anaweza kumgegeda kuanzia saa
tatu usiku mpaka sasa kumi na bado mchana akitoka kazini anataka afikiee
eko. Kwake yeye ameona ni karaha imefikia wakati ameenda kutoa
malalamiko kwao na mume huku akiwashauri ndugu zake wa mshauri aoe mke
wa pili baada ya mume wake kukataa swala la kuoa mke wa pili.
Hebu tuambizane anacho fanya uyn dada ni sahihi?
Hebu tuambizane anacho fanya uyn dada ni sahihi?