Wachambuzi wa siasa: Prof Muhongo rudi chuoni ukafunze watu Geologia

Wachambuzi wa masuala ya siasa nchini mapema jana May 29, 2017 wametoa kauli moja ya kumhshauri aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini Prof.Sospeter Muhongo, kuwa arudi Chuoni kuwafundisha watu Geologia ambae ni taaluma yq Masuala ya Miamba na madini. Bado Prof.Muhongo hajatoa neno lolote juu ya ushauri huu aliyepewa na Wachambuzi hawa wa masuala ya siasa hapa nchini.

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post