Korea kusini watengeneza Kombora litakalotembea kutoka Korea mpaka Marekani

Inaeleza kuwa Korea ya kusini ipo katika mkakati wa kutengeneza Kombora kubwa kabisa la Kinyuklia ambalo litakuwa na uwezo wa kutembea umbali wa 11,500 KM ambao ni umbali wa Kutoka Korea Kusini hadi nchi ya Marekani. Hivi karibuni kumekuwa na msuguano kati ya nchi hizi mbili jambo ambalo umoja wa mataifa UN umeanza kuliingilia kati dhidi ya Korea Kusini na vitisho vyake kwa China na Marekani.

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post