Kamanda Kova: IGP Siro afanye kazi kwa Uadilifu

Aliyekuwa Kamanda wa polisi Kanda maalumu ya Dar es salaam Suleiman Kova, amemtaka IGP Siro kuwa muadilifu katika cheo alichopewa ili aweze kupata ushirikiano na taarifa sahihi kutoka kwa wananchi na wadau mbalimbali alisema Kamanda Mstaafu Kova.

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post