Msemo ‘Duniani wawili wawili’
ni maarufu sana ukimaanisha watu hufanana ingawa hawatoki ukoo mmoja
ambapo inawezekana mmoja hamfahamu mwingine…Tanzania inaye mtu ambaye
anafanana na Jay Z hata watu humuita Jay Z wa Bongo ingawa hawajawahi kukutana. Millardayo.comna AyoTVzimempata kwenye Exclusive Interview Mtanzania huyu ambaye ni Msanii pia ambapo amefunguka na kuelezea namna ambavyo watu walianza kumuita Jay Z wa kibongo na nini kilitokea baada ya tamasha la AFTER SCHOOL BASH alikoonekana.