Zuchu Ateswa na Kutopata Ujauzito, Alaumu Paka Wake Kupata Ujauzito Kabla yake

 

Zuchu asikitishwa na paka wake kupachikwa mimba mapema mno ameandika haya:

“Yaani paka wangu wameshampa mimba sasa hivi, mimi mama yake sina mimba, lakini yeye amepata mimba, kwa nini? Amenidhalilisha sana, ninaonekana mama gani mimi ambaye sijui kulea,” - amesema Zuchu mrembo mwenye mvuto wake anayetajwa kuwa penzini na Diamond  

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post