Diamond Platnumz Aandika Haya kwa Uchungu Baada ya Mtangazaji Maulid Kitenge Kujiondoa Wasafi FM

 



Reposted from @diamondplatnumz kwanza kabisa nikushukuru kwa mchango wako mkubwa Katika taasisi ya Wasafi Media, kwa kuwa nasi bega kwa bega kuanzia Media changa mpaka leo imekuwa Media Nambari Moja Nchini katika kila report....Hakika haikuwa rahisi,  shukran sana na sasa nina Amani ukirudi nyumbani..Mbali ya ushiriki wako kwenye Media, siku zote umekuwa ni kama kaka ama Uncle kwangu...na ninakuahidi kwenda kwa kasi ileile ambayo siku zote umenisihi kuifanya, ili kutimiza Malengo ya WASAFI MEDIA kuwa chombo kikubwa cha Habari Africa na kuzidi kulipa Heshima Taifa letu katika nyanja ya Habari...🇹🇿 @mauldikitenge #KochaMchezaji #Kwaheri #Icon #Chumvi #Jembe 💪🏼 

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post