Rais wa Zanzibar, Hussein Mwinyi ametangaza kifo cha Maalim Seif Sharif Hamad, Makamu wa Kwanza wa Rais aliyefariki leo Jumatano saa 5:00 asubuhi, Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar es Salaam.
Serikali imetangaza siku 7 za maombolezo ambapo bendera zitapepea nusu mlingoti
“Taarifa za msiba na maziko zitaendea kutolewa na serikali kwa ushikiriano karibu na familia pamoja na Chama cha ACT Wazalendo.” Mwinyi
Tags
HOT NEWS
INALILAH WAINA ILAYH RAJIUUN
ReplyDelete