Msanii wa Bongoflava Zuchu akanusha vikali skendo ya kutoka kimapenzi na Boss wake Diamond na wala haishi mjengoni kwa Diamond Platnumz kama watu wanavyodhani
Hii imekuja baada ya watu kuona ukaribu wao na jinsi Diamond Platnumz anavyotumia nguvu nyingi kumpromote tofauti na wasanii wengine alionao kwenye lebo ya wasafi
Tags
WASANII
hatari na nusu
ReplyDelete