BREAKING NEWS:MORRISON ASAINI SIMBA

BERNARD Morrison kiungo mshambuliaji wa Yanga leo ametambulishwa ndani ya kikosi cha Simba.

Morrison mwenye mabao manne ndani ya Ligi Kuu Bara wakati akikipiga Yanga alikuwa kwenye mvutano mkubwa na mabosi wake kwenye suala la mkataba ambapo mchezaji alisema kuwa ana dili la miezi sita huku uongozi ukisema kuwa amesaini dili la miaka miwili.

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post