BREAKING: Ndugulile aibuka kidedea Kigamboni, Makonda ashindwa kwa kura


Leo July 20,2020 Aliyekuwa Naibu Waziri wa Afya Faustine Ndugulile ameibuka mshindi wa kura za maoni Kigamboni kwa kupata kura 190, mshindi wa pili ni aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa DSM Paul Makonda mwenye kura 122.

Post a Comment

Kwa maoni na ushauri weka comment yako hapo chini:

Previous Post Next Post