Rais Magufuli ametangaza shule zote zilizofungwa pamoja na shughuli zote zilizositishwa kufanyika kutokana na corona ikiwemo kufunga ndoa na shughuli zingine kufumguliwa.
“Kutokana na mwendendo wa corona kuendelea kuwa mzuri, corona imepungua sana, naomba nitangaze kuanzia June 29 mwaka huu nafikiri itakuwa Jumatatu, shule zote zilizokuwa zimebaki zifunguliwe, lakini Watanzania waendelee kuchukua tahadhari”-JPM
Tags
kitaifa