MWIJAKU:Jonijo Atulie /Diamond Kununua HOTELI/WATOTO wana MAISHA Magumu/Diva Loveness KIGAGULA
byAdmin-
0
MSEMAJI wa Instagram MWIJAKU amefunguka na kuongela mambo yanaoendelea ya baadhi ya wasanii kuhama kwenye media kila kukicha. Pia ameongezea kwa kusema kuwa Diamond akumbuke anawatoto wake wanaishi maisha magumu.